TPBO YATANGAZA SAFU YA UONGOZI MPYA[1]  RAIS  NA MSEMAJI MKUU ;-YASSIN ABDALLAH MWAIPAYA -USTAADH

[2] KATIBU MKUU ;-IBRAHIMU KAMWE [BIGRIGHT]

[3]KATIBU MSAIDIZI  PIA MWAMUZI ;-SAIDI CHAKU

[4] MKURUGENZI MKUU WA UFUNDI NA UTAWALA PIA JAJI;- FIDEL HYNES

 [5] [MSHAURI WA RAIS ;-BENJAMIN CHUMA

[6] MWAMUZI MKUU ;-SAKWE MTULYA

 [7] MWENYEKITI WA KAMATI YA WAAMUZI - NDG PONELA [MOROGORO]

[8] MWAMUZI -KONDO NASSORO

NAFASI YA MAKAMU WA RAIS ;- IKO WAZI BAADA YA DOCTOR SYSTUS LISSA KUWA NJE YA NCHI KWA MUDA MREFU , ANATAFUTWA MWINGINE NA AJITOKEZE ANAYEPENDA KWA MASHARTI YA -ELIMU YA CHUO KIKUU NA AWE JASIRI, ASIYEOGOPA KUSEMA UKWELI HATA IKIBIDI KUHATARISHA MAISHA YAKE , NA ATAMBUWE WAZI KWAMBA ATAJILIPA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUHAKIKISHA MAPAMBANO MENGI ANAYALETA NDANI YA TPBO .

IMEANDIKWA NAMI;-

YASSIN ABDALLAH MWAIPAYA -USTAADH
RAIS-TPBO MAWASILIANO ZAIDI  0713644974