TBL YAUBEBA UCHAGUZI WA VIONGOZI YANGA KWA MILIONI 20

MWANASHERIA wa kampuni ya bita Tanzania (TBL) Steven Kilindo kulia akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi mil.20 Katibu mkuu wa Yanga Selestine Mwesigwa asubuhi ya leo kwa ajili ya kufanikisha zoezi la mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa klabu ya Yanga utakaofanyika Julai 15 kwenye ukumbi wa Diamond Jubillee jijini Dar es Salaam.