TAMASHA LA WAZI LA FILAMU TANGA LAFANA

 
Watoto wa jiji la Tanga wakishindana kucheza muziki ka katika muendelezo wa Tamasha la Wazi la Filamu nchini lililokuwa limedhaminiwa na Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt.
 
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akimkabidhi zawadi Mtoto Omary Juma alieibuka mshindi wa jumla wa kucheza muziki katika muendelezo wa Tamasha la Wazi la Filamu nchini lililokuwa limedhaminiwa na Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt.

Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah na Mratibu wa Tamasha hilo la Wazi la Filamu,Mussa Kisoky wakiwa pamoja na Watoto waliofika katika hatua ya nne bora katikashindano la Kucheza muziki wakati wa Tamasha la wazi la Filamu lililokuwa likifanyika kwenye viwanja vya Tangamano,jijini Tanga
Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Ltd