TAMASHA LA KIGOMA ALL STARS 'LEKA DUTIGITE'FUNIKA BOVU

 Hawa watoto waliamua kupanda juu ya baiskeli zao ili kuweza kuona kilichokuwa kinaendelea katika jukwaa

 Mashabiki
 Zitto Kabwe akitoa neno katika tamasha hilo
 Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya nao walihudhuria
 Baadhi ya wambunge wa mkoa wa Kigoma na wabunge kutoka sehemu nyingine wakitoa salamu kwa mashabiki waliohudhuria tamasha hilo
 Mashabiki wa Kigoma waliojitokeza kuhudhuiria
 Mashabiki wakishuhudia burudani
Wasanii mbalimbali wenye asili ya mkoa wa Kigoma wakiwemo Queen Darlin, Dyna,Linex, Peter Msechu, Makomandoo, Diamond, Mwasiti katika picha ya pamoja na wabunge.