SIMBA ILIVYOKEJELIWA BAADA YA KUTOLEWA NA AZAM FC KWENYE KAGAME

BOCCO amevamia Msimbazi lakini sio Mnyama ah!..ah.., wala sio wale haramu wa Nigeria ni huyu wa Lambalamba  John Bocco wa Azam Fc!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..................................
Kama unasumbuliwa na maumivi yoyote BOCCOLYN ndio tiba sahihi, pata dozi kwa maendeleo ya afya yako...


Du kazi kweli kweli!