SIMBA, AZAM NANI KUTWAA KOMBE LA URAFIKI LEO?


TIMU za Simba na Azam jioni ya leo zitakuwa na kibarua kigumu cha mchezo wa fainali ya kombe la Urafiki, mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshindi katika michuano hiyo ataondoka na kitita cha shilingi milioni 10 na mshindi wa pili atapata milioni 5.