SIMBA, AZAM FC DIMBANO LEO

MABINGWA wa ligi nkuu soka Tanza nia Bara Simba, pamoja ana mabingwa wa kombe la Mapinduzi Azam Fc leo watashuka katika uwanja wa Aman Visiwani Zanzibar katika mechi mbili tofauti za hatua ya  nusu fainali ya kombe La Urafiki.
Wakati Simba itashuka kuwaana na Zanzibar All Stars, Azam FC itaumana na  Super Falcon mchezo utakaoanza a saa 10:30 jioni.