SHARO MILIONEA, KING MAJUTO WANAUZAJE NYAGO NA G-TIDE VIWANJA VYA SABASABA?


 WACHEKESHAJI mahiri nchini King Majuto na Sharo milionea wakishoo love na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni inayosambaza simu za mkononi ya G-Tide katika maonyesho ya biashara yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba.

        G-Tide Crew
Hii ni sehemu ya kuingilia katika banda la G-Tide kwenye viwanja vya sabasaba.