SEMINA YA WADAU WA TASNIA YA FILAMU NCHINI Mdau Aziz Mongi akichangia mada katika semina ya kujadili masuala mbalimbali ya sanaa ya filamu nchini iliyoandaliwa na Shirikisho la Filamu tanzania (TAFF) na Tume ya Mawasiliano Tanzania (TICRA)

 Wadau wa filamu kutoka kulia Simon Mwakifamba (Mwenyekiti wa TAFF), Asha Mtwangi na Angelo Luhala
 Mmoja ya wawezeshaji katika semina hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel ambaye ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo
 Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini

 Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini
 Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini.

 Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini