MSHINDI WA QUIZE YA CASTLE AZAWADIWA

 Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro ambaye ni mshindi wa Shindano la maswali yanayoendeshwa na knywaji cha Castle kupitia mtanda wa kijamii Facebook Yona H. Mbena, akipokea zawadi yake ya katoni moja ya kinywaji hicho kutoka kwa Meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano hilo la kujibu maswali ya Mpira ya Michuano ya Euro iliyomalizika usiku huu.
Mwanafunzi wa CBE Deric Laurence, akipokea zawadi yake ya kinywaji Cha Castle kutoka kwa meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi wakujibu maswali ya Kombe la Euro kupitia mtandao wa kijamii Facebook.( picha zote kwa hisani ya Intellectuals communications ltd)