MISS HIGHER LEARNING 2012 NI VIRGINIA

MSOMI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Viginia Mokiri usiku huu ameibuka Miss Vyuo Vya Elimu ya Juu katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Club Maisha, Dar es Salaam. Katika shindano hilo, ambalo majaji wake walikuwa ni Kamati ya Miss Tanzania, Fatuma Ramadhani wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha (ASJ), alishika nafasi ya pili na Fina Recatus wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alikuwa wa tatu.
Aidha, Jane Maluli alikuwa wa  IFM nne na Helda Edward wa Ustawi wa Jamii alikuwa wa tano. Pichani ni Viginia katikati, kushoto mshindi wake wa pili Fatuma na kulia mshindi wa tatu Fina. Picha na http/bongostaz.blogspot.com 
 Dodo langu Peter Msechu naye alitupa raha
 Kma kawa Dina Ismail ndani ya nyumba
 Meza  kuu ya majaji


Rais wa masaharobaro, Bob junior akilitendea haki jukwaa usiku huo