MISS UTALII UTALII KINONDONI KUFANYIKA JULAI 20

Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Utalii Kinondoni wakifanya mazoezi tayari kwa shindano hilo litakalofanyika Julai 20 kwenye hoteli ya Travetine jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa shindano hilo Methusella Magesa amesema leo kwamba maandalizi yanaendelea vema .