MGOMBEA YANGA AENDA KUSAFISHA NYOTA BUNGENI

MGOMBEA nafasi ya makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Ayoub Nyenzi (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya muungwano wa Tanzania nje ya viwanja vya bunge mjini Dodoma leo.Kulia ni mbunge wa Singida Iramba MAgharibi, Mwigulu Nchemba, pamoja na mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa na Mbunge wa Temeke ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya udhamini ya klabu ya Yanga, Abbas Mtemvu.