MFALME WA GHETO ATOKA NA KITU KIITWACHO 'PUSH DEM'

Hello Asante sana kwa support yako katika  kuutangaza mziki wa reggae.
Hii ni habari kwa mashabiki wangu,Sasa nimeachia ngoma mpya kabisa nilioifanya nchini uganda na Producer Washing tone wa Goodlife ambaye ameshafanya na wasanii wakubwa kama Chameleone  weasle na Radio Bebe cool na wasanii wengine wakubwa nchini humo na Amesha tengeneza heat Kibao.So baada ya ile ngoma ya DEat au kama raga soka wengi wanavyoitambua niliofanya na hardmad sasa ni push dem Audio na Video linki yake hii hapa chini:

http://www.youtube.com/watch?v=NCyrJkHHdmU

Na link ya video  niliofanya na hardmad ni hii

http://www.youtube.com/watch?v=1zE7FeKj8Ok

na Baada ya, Tulifanya  ngoma na susu inaitwa show me some love video yake hii hapa chini

http://www.youtube.com/watch?v=oUND3FR7ZNM

Kandamoja root ndio root ya musiki tunaofanya originaly from rock city mwanza