KOMBE LA KILIMANJARO LAGER, BANK ABC LAJA


SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) mwaka huu limeapanga kutambulisha michuani pipya ikiwemo ile ya KOMBE LA KILIMANJARO LAGER itakayorindima Julai 23 hadi Agosti 6 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Kalenda ya TFF, mbali na na kombe hilo, pia kutakuwa na kombe la Bank ABC likalorindima Agosti mosi hadi 19 mwaka huu,pia kutakuwa na michuano ya Shimuta, Shimiwi na mingineyo.