KAMPENI YA 100% TZ FLAVA KWA WAKAZI WA KILIMANJARO

 Wateja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiburudika na bia yao huku wakipagawishwa na shoo ya nguvu  iliyofanywa na wasanii wa bia hiyo katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania
 Mteja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambaye ni kiziwi akiwapagawisha wateja katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania.
 Wacheza shoo wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiwaburudisha wateja katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania

Wateja wa Bia ya Kilimanjaro  Premium Lager wakicheza muziki wa “alaji” katika mji mdogo wa Himo Mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia hiyo kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali na mambo yanayomtabulisha Mtanzania. (Picha: kwa hisani ya Executive Solutions)