HONGERA BLOGU YA DIARY YANGU KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA

Ndugu majirani zangu, ninayo furaha leo kuwafamisheni kuwa kijiwe cha Diary yangu leo kinatimiza mwaka mwingine, nawashukuru sana kwa kuwa pamoja nami, kwani nimegundua kuwa, wapenzi wengi wa kijiwe hiki wanapatikana kupitia kwenye blog zenu, kutokana na taarifa za Google. Kwahiyo nawashukuru sana, na mubarikiwe sana, Karibuni kijiweni mseme angalau neno moja.  Najua mpo `busy' sana.

 Tupo pamoja daima
mdau huyu anapatikana humu:http://miram3.blogspot.com