EXTRA BONGO ILIVYOPAGAWISHA NA ONYESHO LAKE LA KUWAAGA MASHABIKI UKUMBI WA NEW WHITE HOUSE-KIMARA KOROGWEMkurugenzi wa Extra Bongo Ally Choki akiimba mbele ya mamia ya washabiki wake jana usiku ndani ya Ukumbi wa New White House Kimara Korogwe

Msanii wa kizazi kipya Bongo Fleva Matonya akiwarusha mashabiki wa Extra bongo usiku wa kuamkia leo ndani ya New white house Kimara Korogwe.
Q Chillah akiimba kwa hisia kali usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa New white house Kimara Korogwe katika show kali ya Extra bongo ya kuwaaga mashabiki wao, usiku wa leo wanaelekea Finland kwa mwaliko rasmi wa kwenda kufanya show kadhaa huko.
Chid Benz kama kawa akiwarusha mashabiki wake.
Matonya na Q Chillah

Choki na Chid Benz
Ally Choki akimsikiliza kwa umakini mdhamini mkuu wa Bendi yake Chief Kiumbe, wakati wa show ya kuwaaga washabiki na wapenzi wao iliyofanyika ndani ya ukumbi wa New white house Kimara Korogwe.