EBSS 2012 WATINGA KWENYE SHINDANO LA MISS LINDI 2012

 MADAM RITA PAULSEN, AWAICHI MAWALLA WA  ZANTEL NA RANJIT WA ZANTEL WAKIWA KWENYE MISS LINDI 2012.
 SALAMA, MASTER J AND RITA PAULSEN KWENYE JUKWAA LA MISS LINDI 2012 KUSEMA MACHACHE KUHUSU MASHINDANO  HAYO 
 MASTER J AKIMTUNZA SUMA LEE WAKATI SUMA LEE AKIIMBA WIMBO WAKE MAARUFU  "CHUNGWA" KWENYE JUKWAA LA MISS LINDI 2012.
 MTANGAZAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, CAESAR DANIEL AKIJIANDAA KUWAHOJI KUMI BORA WA LINDI
 KUNDI LA WASHIRIKI WAKICHUKUA PICHA YA PAMOJA WAKATI WAKISUBIRI KWENDA KUWAONA MAJAJI
 MARIA MTANDI NA SAID LIPONDA WAKIPIGA POZI KWA AJILI YA PICHA WAKISUBIRI KUINGIA KUWAONA MAJAJI.

MADAM RITA PAULSEN AKITOKA KUONGEA NA WASHIRIKI WALIOSHINDWA KINGIA KWENYE TANO BORA YA LINDI AKIWASHAURI KUENDELEA NA MUZIKI
  
MISS LINDI 2012 AKIONESHA KIPAJI CHAKE CHA KUPIGA "SAXOPHONE".