CASTLE LAGER SUPER FUN YAZIDI KUSHIKA KASI MIKOA MBALIMBALI NCHINI

 Keneth Gwivammkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
 Happy Chatanda Mshindo Iringawa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
 
 Tairosy Augustino Masangula mkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
 
 Philipo Kidongososi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
 Stanley godfrey wa mwanjelwa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani. 
 Keneth mwaiselo wa Airport mbeya Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
  Michael Rocky manyoni wa singida Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani. 
 
David Kihenge wa Mtwara Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.

Picha zote kwa Hisani ya Intellectuals Communications Limited



Comments