BLOGU YA FULLSHANGWE YAPIGA TAFU MATIBABU YA SAJUKI

Mkurugenzi  mtendaji wa Fullshangwe Blog, Bw. John Bukuku akimkabidhi mke wa Sajuki, Wastara Juma kiasi cha Sh. laki moja 100,000, kama sehemu ya mchango wake kwa ajili ya matibabu ya Mumewe, katika mkutano wa aandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam wakati wasanii hao walipotangaza uzinduzi wa filamu ya SAYLA kwa ajili ya kuchangia matibabu ya msanii Sajuki.