KAMPENI YA 100%TZ FLAVA YAFUNIKA MBEYAWasanii wa kundi la GYT kutoka Dar es salaam wakilishambulia jukwaa wilayani Kyela mkoani Mbeya jana ikiwa ni sehemu ya kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kwa lengo la kuwaunganisha Watanzania nchini kote kupitia burudani mbalimbali. (Picha: Executive Solutions)