WAREMBO WA MISS DAR INTERCOLLEGE 2012 WATEMBELEA DUKA LA SHEAR ILLUSIONS MLIMANI CITY, DAR

 Baadhi ya Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja kwa warembo.
 Mmoja ya wafanyakazi wa duka la Shear Illusions la Mlimani City jijini Dar akitoa maelezo kwa warembo wa Miss Dar InterCollege.
 Warembo wakiwa katika nyuso za furaha.
  Mfanyakazi wa dula la Shear Illusions akiwapa maelezo ya namna ya kutumia vipodozi mbali mbali.
 Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiangalia bidhaa mbali mbali zinazopatikana kwenye duka hilo.
 Mrembo wa Miss Dar InterCollege akivalishwa saa.
Warembo wa Miss Dar InterCollege wakigawiwa zawadi na mwalimu wao Marlydia Boniface (wa kwanza kulia) ambazo walipewa mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions ambao ni wadhamini wa shindano hilo. Picha/www.kajunason.blogspot.com