WARATIBU!

Waratibu wa mashindano ya urembo Dina (Miss Dar Inter College) na Somoe Ng'itu ( Miss Kigamboni) wakifuatilia jambo, kwa sasa ni mchakamchaka kwa kwenda mbele kuelekea mashindano hayo ambapo Miss Kigamboni itafanyika juni 15 katika ukumbi wa Navy Beach huku Miss Dar Inte College itarindima Juni 22 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa uliopo mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)