SALAAM ZA RAMBI RAMBI ZA MH RAIS KWA MSIBA WA MHARIRI WA JAMBO LEO WILLY EDWARD


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, MheshimiwaJakayaMrishoKikweteametumasalamuzarambirambikwaWaziriwaHabari, Vijana, UtamaduninaMichezo, MheshimiwaFenellaMukangarakuombolezakifo cha MhaririMtendajiwaGazeti la JamboLeo, Ndugu Willy Edward Ogundekilitokeausikuwakuamkiajana, Jumapili, Juni 17, 2012  mjiniMorogoro.
Katikasalamuzakezarambirambi, MheshimiwaRaisKikweteamesemakuwaameshtushwanakusikitishwanakifo cha ghafla cha Ndugu Willy Edward Ogundeambayeamepotezamaishaakiwabadokijanaingawatayarialikuwaamekwishakutoamchangomkubwakatikamaendeleoyatasniayahabarikutokananaumakini wake, uzingatiajiwaweledikikamilifunamisingiminginemikuuyauandishiwahabari.
“Nimepokeakwamshtukomkubwanahuzuninyingikifo cha ghafla cha Ndugu Willy Edward Ogundeambayenimejulishwakuwakilitokeausikuwakuamkiajana, Jumapili, hukoMorogoroambakoalikuwaamekwendakikazi. Ndugu Willy Edward Ogundeamepotezamaishaakiwabadokijanasanahatakamanikwelikatikamudamfupiwamaishaametokeakuwamfanowakuigwakatikatasniayahabarikwamchango wake wakudumishaweledinamisingiminginemikuuyauandishiwahabari.”
AmeongezaRaisKikwete: “NakutumiaweweMheshimiwaWazirisalamuzadhatiyamoyowanguzarambirambikuombolezakifo cha kijanahuyuwetunamwanataalumawako. Aidha, kupitiakwakonakuombauniwasilishiesalamuzangukwawanataalumawotewatasniayahabarinchinikwakuondokewanamwenzao. Lakinizaidi, nakuombaunifikishesalamuzangunyingikwawanafamilia, ndugunajamaawaMarehemu Willy Edward Ogunde.”
“Wajulishekuwanikonaokatikamsibahuumkubwakwasababumsibawaonimsibawangupia.Naelewamachunguyaokatikakipindihikikigumu cha kufiwanampendwawao. Nawaombeasubiranauvulivu. Aidha, wajulishekuwanaungananaokatikakumwombaMwenyeziMungu, MwingiwaRehema, aiwekepemapeponirohoyaMarehemu Will Edward Ogunde. Amina,” amesisitizaMheshimiwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania.
IMETOLEWA NA:
 KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
18 Juni, 2012
DAR ES SALAAM