RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA BASKETBALL NCHINI  Rais Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.
 Rais Jakaya Kikwete akipokea mpira toka kwa Rais wa Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Rais wa Shirikisho la Basketball  (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.(PICHA NA IKULU)