NYOTA WAPYA SIMBA SC WAANZA KAZI


WACHEZAJI wapya waliosajiliwa na klabu ya soka ya Simba kwa ajili ya kuitumikia katika ligi kuu soka Tanzania bara na michuano ya kimataifa.
Ofisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga (pichani)amesema kwamba nyota hao wameungana na wale wa zamani waluioanza mazoezi wuijki iliyopita.
Kamwaga aliwataja nyota hao wapya ni pamoja na Paul Ngalema, Salim Kinje, Abdallah Juma, Kigi Makassy, Mussa Mude, Patrick Mbivayanga na Ibrahim Kinje.