MUSTAFA HASSANALI AKABIDHI ZAWADI KWA WAREMBO WALIOSHINDA MISS DAR INTERCOLLEGE 2012

 Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Mustafa Hassanali akimkabidhi zawadi ya gauni lenye thamani ya shilingi 500,000 Miss Dar Intercollege 2012 Hilda Edward.Kulia ni mratibu wa shindano hilo ambalo lilifanyika wiki iliyopita na Mustafa kuwa mmoja ya wadhamini, Dina Ismail.Hafla hiyo imefanyika leo ofisini kwake Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Mustafa Hassanali akimkabidhi zawadi ya gauni lenye thamani ya shilingi 300,000 mshindi wa pili Jamila Hassan huku mratibu Dina Ismail nikishuhudia
 Mustafa Hassanali katika picha ya pamoja na wageni wake hii leo ofisini kwake
 Tukiwa na zawadi zetu toka kwa Mustafa Hassanali