MAXIMO KUTUA KESHO YANGA SC

ALIYWEAHI kuwa kocha mkuu wa timu ya soka Taifa 'Taifa Stars' Mbrazil Marcio Maximo anatarajiwa kuwasili nchini kesho tayari kuanza kukikonoa kikosi cha YAnga.
Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu amesema leo kwamba mara baada ya kuwasili Maximo atafanya taratibu za usajili kabla ya alhamis kuanza rasmi kukinoa kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya michuano ya kombe la kagame itakayoanza kutimua vumbi mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar es Salaam.