ISHA MASHAUZI APAGAWISHA UHOLANZI


Msanii wa muziki wa mwambao wa pwani bidada Isha Mashauzi jana katika mji wa Den Haag nchini Holland alikonga nyoyo za mashabiki zake pale alipowapa mashauzi yake mashabiki wake.kwa picha zaidi