IRENE SIZARI NDIYE MISS UBUNGO 2012

 Miss Ubungo 2012, Irene Sizari akiwa na washindi wake wa pili kushoto Mwaniumy Mustafa na wa tatu kulia Antonia Nyagunda wa tatu, baada ya shindano hilo
 Tano bora
 Kama kawa
 FM Academia kwa Jukwaa
 WArembo wote walioshiriki Miss Ubungo 2012
 Uncle Lundenga na Bin Zubeiry mmiliki wa  http://bongostaz.blogspot.com
 Jaji Mkuu wa shindano hilo, Sintah
 Mzee wa Kitwe Ruta akiwa na vimwana
 Wacheza shooo wa Fm academia
 Dina na Miss Kurasini 2012 Flaviana


HABARI?PICHA KWA HISANI YA http://bongostaz.blogspot.com
KIMWANA Irene Sizari usiku wa kuamkia leo ameibuka Miss Ubungo 2012 katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Landmark, Ubungo akiwashinda washiriki wenzake 14.
Katika onyesho hilo lililosindikizwa na burudani ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Mwaniumy Mustafa aliibuka mshindi wa pili, Antonia Nyaragunda wa tatu, Wema Mwanga wanne na Joyce Raphael wa tano.
Wasichana wote watano wamejikatia tiketi ya kushiriki shindano la Miss Kinondoni Agosti, mwaka huu na baada ya hapo, Miss Tanzania, Novemba mwaka huu.