ONYESHO LA FM ACADEMIA MOSHI, CHINI YA UDHAMINI WA ZANTEL



Wanamuziki wa bendi FM Academia wakitumbuiza katika ukumbi wa Aventure mjini Moshi mwishoni mwa wiki. Ziara ya bendi hiyo imedhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel.

Comments